Dkt. Faustine Ndugulile, amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika katika uchaguzi uliofanyika leo Jumanne, tarehe 27 Agosti 2024 mjini Brazzaville, Jamhuri ya Congo. Dkt. Ndugulile amewashinda wagombea wengine watatu kutoka Senegal, Niger na Rwanda.
More Stories
‎JKT yafunga rasmi mafunzo ya vijana kundi
Wadau watakiwa kuwashirikisha vijana Programu ya afya
Namtumbo wahimizwa kutumia nishati safi ya kupikia