Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amejumuika na viongozi na wananchi mbalimbali katika misa Takatifu ya kumwombea Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Misa inafanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mt. Yohana Maria Muzeyi, wilayani Chato mkoani Geita.





More Stories
Muswada wa Sheria ya Mikopo wawasilishwa bungeni
Wasanii wahimizwa kuwa mabalozi wa utunzaji wa fedha
Serikali yaongeza ulinzi watoto dhidi ya ukatili mtandaoni