January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Muuza machungwa akiandaa bidhaa hiyo kwaajili ya wateja wake huku akiwa amevaa barakoa (mask) katika Mtaa wa Jamhuri, jijini leo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)

Dar waitikia wito, vita ya Corona kwa barakoa (mask) -PICHA

Muuza mayai ya kuchemsha akisubiri wateja pembeni ya kituo cha daladala, Posta Mpya, jijini mapema leo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)
Wauuza vitafunwa wakisubiri wateja, Posta Mpya, jijini mapema leo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)
Muuza Barakoa (mask) akiwa katika harakati za kutafuta wateja wa bidhaa hiyo leo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)
Baadhi ya wakazi wa jiji wakiwa katika harakati mbalimbali mapema leoleo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)
Mkazi wa jijini akiwa amevaa barakoa (mask) akiwa katika harakati mbalimbali mapema leoleo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)
Mkazi wa jijini akiwa amevaa barakoa (mask) akiwa katika harakati mbalimbali mapema leoleo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)
Mfanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya Gardaworld akiwa amebeba kiti cha ofisini akipeleka katika moja ya maofisi jijini, mapema leoleo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)
Mkazi wa jijini akiwa ndani ya daladala linalofanya safari za Mbagala kutokea eneo la Feri kama alivyonaswa na kamera yetu leoleo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)