December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Chameleone tayari kukiwasha ‘SERENGETI LITE OKTOBAFEST’ Dar

Na Mwandishi wetu, Timesmajira Online DSM

Msanii mkongwe wa muziki Jose Chameleone Amewasili Nchini Tanzania kwaajili ya Tamasha kubwa la October Fest litakalofanyika coco Beach jijini Dar es salaam

Tamasha hilo la “SERENGETI LITE OKTOBA FEST” litajumuisha wasanii lukuki kutoka hapa Nchini Tanzania wakiongozwa na Alikiba, billinas, Chino kidd, Gnako na Msanii kutoka nchini kenya Nyamari ongegu “Nyashiski pamoja na Jose chameleone