January 8, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Chalamila apiga kura Kituo cha Masaki

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametimiza haki yake ya msingi ya Kikatiba baada ya kukamilisha zoezi la kupiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam.

“Serikali za Mitaa,Sauti ya Wananchi,Jitokeze Kushiriki Uchaguzi”