January 8, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

CCM yamteua Tulia Ackson kugombea Uspika

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson Kugombea Ubunge 2020 | UDAKU SPECIAL

Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imepitisha jina la Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.