January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

CCBRT yashinda tunzo nchini

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi (kushoto) cheti baada ya kushinda katika kipengele cha Mashirika yasiyo ya Kiserikali yaliyoajiri zaidi wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali uliofanyika jijini Dodoma, jleo.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi (wa pili kushoto) pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo wakifurahia ushindi baada ya kutunikiwa cheti cha ushindi na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto baada ya kushinda katika kipengele cha Mashirika yasiyo ya Kiserikali yaliyoajiri zaidi wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali uliofanyika jijini Dodoma, leo, Septemba 29.