Na Mwandishi Wetu,TimesMajira,Pemba MZEE wa miaka 60 Mkazi wa shehia ya Finya Wilaya ya Wete amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa...
Habari
Na Joyce Kasiki,TimesMajira online,Dodoma BAADHI ya wafanyabiashara jijini Dodoma wamempongeza Rais Dkt.John Magufuli kwa kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi...
Na Steven Augustino, TimesMajira Online,Tunduru WATU watatu katika vijiji vya Mtonya katika Kata ya Mindu na Tulieni Kata ya Nakapanya...
Na David Magesa, TimesMajira,Magu MWENYEKITI wa Kijiji cha Ijinga katika Wilaya ya Magu, Badri Juma Masengo (40) anadaiwa kumpa ujauzito...
Na Angela Mazula, TimesMajira Online WABUNGE wamemchagua mbunge wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai kuongoza kiti cha uspika kwa kumpa...
Angela Mazula, Timesmajira Online Ni Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo hivi sasa linaendelea katika shughuli...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira,Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewataka watendaji ndani ya serikali kujiamini katika...
Na Grace Gurisha, TimesMajira Online MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu 'Mahakama Mafisadi', imewahukumu Raia...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online,Dodoma RAIS John Magufuli amewashukuru waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata, Ikulu-Chamwino Mkoani Dodoma...
WAZIRI Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa amemtembelea na kumjulia hali mwanamziki mkongwe nchini Kikumbi Mwanza Mpango maarufu kama King Kikii, Nyumbani...
