Na Angela Mazula, TimesMajira Online
WABUNGE wamemchagua mbunge wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai kuongoza kiti cha uspika kwa kumpa kura ya ndio huku kura mmoja ikimkataa.

Ndugai alikuwa mgombea pekee wa kiti hicho uliofanyika Dodoma leo.
Akitangaza ushindi huo mwenyekiti wa muda Mbunge wa Jimbo la Ismani William Lukuvi amesema kuwa ushindi alioupata ni sawa na asilimia 99.7.
Spika Ndugai ameapa mbele ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuitumikia vyema Jamuhuri na kutenda haki kwa watu wote kwa mujibu wa katiba, kanunu za bunge na sheria.

More Stories
Tanzania mwenyeji wa mkutano wa Wanahisa wa Africa50, Jukwaa la miundombinu Afrika
Yas yazindua Mnara wa 5G Masasi
Wafanyabiashara wahimizwa kutumia nembo ya Tanzania