Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma GEORGES Bussungu anakuwa Mgombea wa saba kuchukua Fomu katika Ofisi za Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC)...
Habari
Na Joyce Kasiki.Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaongiza viongozi mbalimbali wa Kitaifa...
Na Amani Nsello,Dodoma TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha ushiriki wake katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma DOYO Hassan Doyo amekuwa mgombea wa tano kuchukua fomu katika Ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma COASTER Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman kutoka Chama Cha Makini (MAKINI)amekuwa mgombea wa nne kuchukua...
*Vifo hivyo vimetokea katika matukio mawili tofauti *Mtuhumiwa wa mauaji naye adaiwa kuuwawa na wananchi Judith Ferdinand, Timesmajira Online-Mwanza Jeshi...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline ,Dodoma VYAMA ambavyo wagombea wake watachukua  Fomu za kugombea Urais vimeongezeka,Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imetoa...
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo na Muhimbili (MOI) imetii agizo la Rais wa Jamhuri ya...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira WAKATI Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikitarajiwa kutangaza rasmi majina ya wagombea ubunge na udiwani...
Na Fresha Kinasa,TimesMajiraOnline,Mara SERIKALI mkoani Mara imeyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha wananchi kushiriki...
