January 5, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

BREAKING NEWS: Sophia Mjema ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais Wanawake na Makundi Maalum

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.