December 30, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Bakari MAchumu

Bakari Machumu Makamu Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri

Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Morogoro

ALIYEKUWA Mjumbe wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) Bakari Machumu (pichani), ameshinda nafasi hiyo dhidi ya mpinzani wake Joyce Shebe, katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo.

Machumu ampata kura 53 na Shebe kura 26 ambapo idadi ya wapiga kura ilikuwa 79 katika uchaguzi unaofanyika mkoani Morogoro, katika Ukumbi wa Nashera.