January 8, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Barozi wa Papa Francins nchini Tanzania , Askofu mkuu Marek Solczynski akiwa wasaha mshumaa wa Pasaka mwanzo wa ibada ya usiku wa Pasaka nje ya kanisa kuu la Mtakatifu Karoli Lwanga jimbo Katoliki la Kahama alipoadhimisha ibada hiyo kushoto ni Paroko wa kanisa hilo Padri Salvatore Guerera .Picha na Patrick Mabula.

Balozi wa Papa Francis aendesha misa Kahama