Na Zuhura Zukheir, TimesMajira Online, Iringa KADA wa Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA), Andrew Pallaiga amechukua na kurudisha fomu...
admin
Na David John, TimesMajira Online WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa wamemchagua Dkt Hussein Mwinyi kuwa...
https://youtu.be/x7PgyRPwDaA
Kamati Kuu yahitimisha, kuwasilisha mapendekezo NEC leo, wagombea watakiwa kuwa wanyenyekevu taarifa zao zinapojadiliwa Na Joyce Kasiki, TimesMajira Online, Dodoma...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Dodoma RAIS John Magufuli, amekwenda kutoa pole kwa familia ya Balozi Mstaafu Job Lusinde aliyefariki...
Ndugu wakimuombea mwanamke aliyefariki kwa virusi vya Corona (COVID-19) juzi mjini New Delhi, India. Bado wataalam wa afya wanasisitiza umuhimu...
Na Waandishi Wetu, TimesMajira Online, DSM, Mikoani WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiwa kimeweka utaratibu mgumu wa kuwapata wagombea ubunge...
Na Grace Gurisha, TimesMajira Online WAKULIMA wawili wakazi wa Mwandeti jijini Arusha, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa...
Na Oscar Mzuka, Dodoma BARAZA la Veterinari lililopo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, imetishia kuwafutia usajili madaktari kwenye...
Na Doreen Aloyce,TimesMajira Online,Dodoma TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imekiri kumhoji Mbunge anayemaliza muda...