ACT-Wazalendo yapinga
matokeo jimbo la Konde
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira,Online
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimepita matokeo ya uchaguzi mdogo katika Jimbo la Konde yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Uchaguzi wa Jimbo la Konde ulifanyika jana (Julai 18, 2021) ambapo taarifa ya chama hicho iliyotolewa leo a kwenye vyombo vya habari na kusainiwa na Kaimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar,ACT Wazalendo, Salim A. Bimani ilieleza kwamba matokeo hayo yamepikwa.
Chama hicho, kilisema Kamati ya Uongozi Taifa inakutana kwa dharura kujadili suala hilo.
More Stories
Amos Lengael Nnko afariki kwa ajali ya gari
Jay-Z aunganishwa na P Diddy kwa kumdhalilisha binti wa miaka 13
Rais Samia afanya uteuzi