

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Mwani Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe.Balozi Amina Salum Ali na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman. Picha na Ikulu
More Stories
TAMISEMI yaomba kupitishiwa bajeti ya shilingi Trilioni 11.78
Sekiboko ahimiza uwekezaji Elimu ya ufundi
CAG alivyoibua madudu mashirika ya umma