Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline
,Dodoma
VYAMA ambavyo wagombea wake watachukua Fomu za kugombea Urais vimeongezeka,Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imetoa ratiba mpya.
Kwa mujibu wa INEC imetaja vyama vilivyoongezeka kuwa ni SAU,UDP,CUF na ACT WAZALENDO.
Post Views: 440
More Stories
Serikali yajipanga kukabiliana na athari za El Nino
Wadau watakiwa kushirikiana Kuhifadhi Ziwa Tanganyika
Miaka 50 ya Tantrade kusherehekewa kwa kishindo