Fresha Kinasa,TimesMajira Online,Mara.
MJUMBE wa Baraza kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania ( UWT) Mkoa wa Mara Rhobi Samwelly amechukua fomu ya kuombe kuteuliwa kugombea Ubunge kuwakilisha Wanawake (Viti Maalumu) kupitia chama Cha Mapinduzi Mkoa huo.Â
Rhobi Samwelly amekabidhiwa fomu hiyo Juni 30, 2025 na Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Mkoa wa Mara Nderi Amos Isangya


More Stories
Polisi yawashikilia watu 11 wizi wa miundombinu ya TTCL
Watanzania wahimizwa kudumisha maadili
Elimu ulinzi shirikishi yapunguza mauaji Kwimba