Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, kulia ni mkewe, Thania Abdulla. Masauni amechukua fomu hiyo leo katika ofisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar .Picha na Abubakari Akida Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar. Kushoto ni Katibu Kamati Maalumu ya NEC na Idara ya Oganaizesheni,fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akikabidhiwa maelekezo maalumu na Katibu Kamati Maalumu ya NEC na Idara ya Oganaizesheni,Garosi Nyimbo baada ya kufika Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kuomba kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida Post Views: 1,268 Continue Reading Previous Magufuli chupuchupu awatumbue RPC, Kamanda TAKUKURU ArushaNext Wanachama 2,565 wajitokeza kumdhamini Magufuli Ruangwa More Stories Habari Kiswaga:Magu imepokea bilioni 143, utekelezaji miradi December 23, 2024 Judith Ferdnand Habari Zaidi ya milioni 600 kupeleka umeme Kisiwa cha Ijinga December 23, 2024 Judith Ferdnand Habari Kamishna Hifadhi ya Ngorongoro atakiwa kupanua wigo wa Utalii nchini December 23, 2024 Hamisi Miraji
More Stories
Kiswaga:Magu imepokea bilioni 143, utekelezaji miradi
Zaidi ya milioni 600 kupeleka umeme Kisiwa cha Ijinga
Kamishna Hifadhi ya Ngorongoro atakiwa kupanua wigo wa Utalii nchini