Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF) kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapa Tuzo baadhi ya Waanzilishi wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika WiLDAF pamoja na vyeti kwa wadau waliofanikisha maendeleo ya Shirika hilo kwenye Maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa Shirika hilo kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022. Wageni mbalimbali waliohudhuria Maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika WiLDAF kwenye hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022. Bendi ya Bahati ikitumbuiza kwenye Maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika WiLDAF katika hafla iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022. Post Views: 405 Continue Reading Previous IGP Wambura afanya mabadiliko ya makamandaNext Agri-Connect kuongeza kipato kwa wanawake na vijana More Stories 3 min read Habari Makonda aipongeza CRDB kuimarisha utalii kwa kutoa nyenzo za ulinzi May 17, 2024 Judith Ferdnand 2 min read Habari Kitaifa Serikali kutenga bajeti ya vyombo vya habari May 17, 2024 joyce kasiki 1 min read Habari Watoto 194 wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja May 17, 2024 zena chitwanga
More Stories
Makonda aipongeza CRDB kuimarisha utalii kwa kutoa nyenzo za ulinzi
Serikali kutenga bajeti ya vyombo vya habari
Watoto 194 wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja