Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Unguja kuhudhuria ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman, akitowa maelezo kuhusiana na mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja uliofanyika leo 12-7-2022 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali baada ya kuwasili katika ukumbi wa Madinat Al Bahri Mbweni, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki, kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022 MKURUGENZI Mkuu wa TAKUKURU Salum Rashid Hamduni akizungumza na kutowa maelezo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, ulifanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022 MKURUGENZI Mkuu wa ZAECA Ahmed Khamis Makarani akizungumza na kutowa maelezo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, ulifanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa baada ya kumaliza kuufungua mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika , unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022 Post Views: 335 Continue Reading Previous Dkt. Tulia atoa somo kwenye mkutano wa Mabunge SADCNext Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) More Stories Habari CCM imejipanga kushinda kwa kishindo November 23, 2024 Judith Ferdnand Habari Wanaotumia lugha za matusi,kashfa kwenye kampeni waonywa November 23, 2024 Judith Ferdnand Habari Polisi Mbeya yawataka waandishi wa habari kutoa taarifa sahihi November 23, 2024 zena chitwanga
More Stories
CCM imejipanga kushinda kwa kishindo
Wanaotumia lugha za matusi,kashfa kwenye kampeni waonywa
Polisi Mbeya yawataka waandishi wa habari kutoa taarifa sahihi