MELBOURNE, Australia
BONDIA Vasilly Lomachenko, amekubali dili la kuzichapa na George Kambosos Jr (WBA, IBF, WBO). Lomachenko yupo kwao Ukraine kupigania amani ya nchi yake, huku juhudi zikifanyika kumtoa, ili aanze kambi kujiandaa na pambano hilo.
Pambano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 05 mwaka huu mjini Melbourne, Australia.

More Stories
Range ang’ara riadha BAMATA
Serikali yaridhishwa maandalizi NHIF kuelekea AFCON
Serikali yaeleza mkakati kuendeleza michezo,wenye ulemavu