Na Mwandishi wetu,Mwanza
MASHINDANO ya Riadha ya Bammata 2026 yameendelea, Septemba 25, 2026, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwa mbio za mita 5,000, sawa na kuzunguka uwanja mara 12.
Mkaguzi wa Magereza INSP Catherine Lange ameendelea kuonyesha ushindani baada ya kushika nafasi ya tatu, akirudia mafanikio aliyoyapata jana katika mbio za mita 10,000 za wanawake.

More Stories
STAMICO yaimarika, yatekeleza kwa vitendo falsafa ya 4R
Ndejembi aridhishwa na ujenzi wa Kituo cha Umeme Iganjo
Wizara ya Viwanda yabainisha utendaji wa taasisi zake