Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akikabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Mhe. Mohamed Mchengerwa mara baada ya kuapishwa rasmi jana na Mhe. Rais kuiongoza Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mchengerwa kwa sasa ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akizungumza baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Mhe. Mohamed Mchengerwa mara baada ya kuapishwa rasmi jana na Mhe. Rais kuiongoza Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mchengerwa kwa sasa ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa akitoa neno la shukrani kabla ya kukabidhi ofisi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama leo jijini Dodoma. Wengine ni Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akisalimiana na Watumishi wa Ofisi yake mara baada ya kuripoti rasmi baada ya kuapishwa na Rais kuiongoza Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kulia kwake ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ambaye kabla alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Xavier Daudi akilakiwa na Watumishi wa Ofisi yake mara baada ya kuripoti rasmi baada ya kuapishwa na Mhe. Rais leo Jijini Dodoma. Post Views: 734 Continue Reading Previous Wahariri (TEF) wamkaribisha Nape, wamshukuru KijajiNext Waandishi wa habari wafariki katika ajali ya gari More Stories 1 min read Habari TCAA washiriki maadhimisho ya MEI MOSI May 1, 2024 Jackline Mkota 3 min read Habari Mbunge aeleza athari za kutisha za mafuriko Ulanga May 1, 2024 Penina Malundo 2 min read Habari Kitaifa JKT yazindua Boti yake kuongeza tija katika ulinzi,uzalishaji May 1, 2024 joyce kasiki
More Stories
TCAA washiriki maadhimisho ya MEI MOSI
Mbunge aeleza athari za kutisha za mafuriko Ulanga
JKT yazindua Boti yake kuongeza tija katika ulinzi,uzalishaji