Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani leo tarehe 23 Novemba 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu matumizi ya Barabara alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama yaliyofanyika leo tarehe 23 Novemba 2021 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.Wa pili kulia Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu matumizi ya Barabara na Madaraja pamoja na kuvuka katika maeneo hayo kutoa kwa Watoto wa Shule mbalimbali mkoani Arusha alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika leo tarehe 23 Novemba 2021 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. wa pili kulia Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akikabidhi jumla ya Pikipiki 26 kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro kwa ajili ya kuongeza kasi ya kufanya Doria kwa Jeshi hilo, kwenye maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama yalioanza leo tarehe 23 Novemba 2021 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Khamis Hamza Chillo Post Views: 1,009 Continue Reading Previous STAMICO na NMB wakubaliana kuwainua kiuchumi wachimbaji wadogoNext SHIWAKUTA latakiwa kuwaendeleza wakulima wafikie malengo yao More Stories 2 min read Habari Kitaifa Dkt.Yonanzi:Nyumba zinazojengwa Hanang’ ziwekwe anwani za makazi May 5, 2024 joyce kasiki 2 min read Habari Miaka 20 jela kwa kuhujumu TANESCO May 4, 2024 Jackline Mkota 2 min read Habari Mfumo wa e-Board umeboresha uendeshaji vikao Ilemela May 4, 2024 Judith Ferdnand
More Stories
Dkt.Yonanzi:Nyumba zinazojengwa Hanang’ ziwekwe anwani za makazi
Miaka 20 jela kwa kuhujumu TANESCO
Mfumo wa e-Board umeboresha uendeshaji vikao Ilemela