Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Mary Masanja akiwa na Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko Makao Mkuu TANESCO Bw.Innocent Lupenza akiwa na Afisa Uhusiano Mkoa wa Geita Bi.Emma Nyaki alipotembelea banda la TANESCO wakati wa maadhimisho ya kilele cha Maonyesho ya Utalii na Biashara yaliyofanyika Agosti 15,2021 wilayani Chato katika viwanja vya Magufuli. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Mary Masanja akiwa na Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani akitoa maelezo mara baada ya kutembelea banda la TANESCO Post Views: 639 Continue Reading Previous CRB: Makandarasi jazeni zabuni kwa kutumia TANePSNext NMB yatoa misaada ya milioni 20 kwa shule za sekondari Dar More Stories 3 min read Habari Waziri Jafo atilia mkazo ajenda ya Rais Dkt. Samia April 29, 2024 reuben kagaruki 3 min read Habari Macho, masikio kwa Rais Samia Mei Mosi April 29, 2024 reuben kagaruki 3 min read Habari DC.Lulandala:Miaka 60 ya Muungano na mafanikio lukuki April 28, 2024 Judith Ferdnand
More Stories
Waziri Jafo atilia mkazo ajenda ya Rais Dkt. Samia
Macho, masikio kwa Rais Samia Mei Mosi
DC.Lulandala:Miaka 60 ya Muungano na mafanikio lukuki