December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Makabidhiano ya nyaraka

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Frank Nyabundege (kulia), akikabidhiwa nyaraka za ofisi na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa benki hiyo, Japhet Justine, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi za benki hiyo jana jijini Dar es Salaam. Nyabundege aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuongoza benki hiyo ya kilimo Agosti, 5, mwaka huu. Na mpiga picha wetu.