Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mary Masanja (Mb) akimsikiliza Mhifadhi Mkuu, Hifadhi ya Mazingira Asilia Rondo, Richard Baltazar (kulia) akitoa maelezo kuhusu Hifadhi ya Mazingira Asilia Rondo alipokuwa akikagua shamba la miti Rondo katika ziara yake ya kikazi jana Mkoani Lindi.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii , Mhe. Mary Masanja (Mb) akimwagilia mti wa kumbukumbu alioupanda wakati wa ziara yake ya kikazi katika Ofisi za Wakala wa Huduma za Miti (TFS) Shamba la Miti Rondo Mkoani Lindi. Kushoto ni Mkuu wa Kanda ya Kusini wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Manyisye MpokigweNaibu Waziri wa Maliasili na Utalii , Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na wanachi wa Kijiji cha Rondo katika Halmashauri ya Wilaya ya Lindi katika ziara yake ya kikazi ya kusikiliza kero za wananchi ambapo amewataka wananchi kuendelea kuhifadhi mazingira ili kuendeleza utalii wa eneo hilo Mkoani Lindi
More Stories
Katibu Mwenezi Wilaya ya Mkuranga Omari Kisatu atoa maelekezo mazito
Masandawana Fc yajinyakulia mil.10/- Tulia Trust Uyole Cup 2026
EMS yapanua wigo utoaji huduma kidigitali