Mwenyekiti wa ‘Alliance for Green Revolution in Africa’ (AGRA) na Waziri Mkuu mstaafu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn (aliyeketi watatu kutoka kushioto), na Mjumbe wa Bodi wa AGRA na Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete (aliyeketi wanne kutoka kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Ishmael Kasekwa (aliyeketi wa pili kutoka kulia), na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Derick Lugemala (aliyeketi kulia) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha JOYDONS (T) Ltd., kiwanda cha kuchakata mahindi na kusaga unga wa sembe Wilayani Bagamoyo. TADB imetoa mkopo wa kiasi cha sh. Bilioni 1.2 kwa kiwanda hicho kwa ajili ya kununua mashine za kisasa za kuchakata mahindi na kusaga unga wa sembe na ghala ya kisasa. Aliyeketi kutoka kushoto ni Makamu wa Rais wa AGRA, Vanessa Adams na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Sarah Msafiri. Post Views: 1,062 Continue Reading Previous Serikali yaagiza shamba la Mabuki kuongezewa ulinziNext Ziara ya kikazi ya Naibu Waziri Mary Masanja wilayani Mkuranga More Stories Habari Watakaokwamisha mapato Kaliua kukiona cha moto January 10, 2025 zena chitwanga Habari Dkt.Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoto January 10, 2025 zena chitwanga Habari Kilo 673.2,dawa za kulevya zakamatwa Bahari ya Hindi January 10, 2025 Judith Ferdnand
More Stories
Watakaokwamisha mapato Kaliua kukiona cha moto
Dkt.Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoto
Kilo 673.2,dawa za kulevya zakamatwa Bahari ya Hindi