



NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameungana na viongozi mbalimbali pamoja na mashabiki wa soka kushuhudia mchezo wa Ngao ya Jamii uliowakutanisha watani wa jadi, Simba na Yanga, Agosti 12 2026.
Mchezo huo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini, umemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba na hivyo kutwaa taji la Ngao ya Jamii ambalo wamekabidhiwa na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Patrobas Katambi

More Stories
Wagonjwa 500 wafanyiwa upasuaji wa nyonga na goti MNH-Moganzila
Mgejwa:Nishati Safi ya Kupikia ni fursa ya kiuchumi
Tanzania kujenga Chuo Kikuu cha Usafirishaji cha Kanda