
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Prof. Palamagamba Kabudi ameshiriki na kutoa wasilisho katika Mkutano wa Pili wa Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (National Defence College Tanzania)
Mkutano huo umefanyika leo,Julai 21,2026 ,Jijini Dar es Salam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNICC) na kuongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa mzungumzaji Mkuu.




More Stories
Waziri Ndejembi azindua mradi wa njia ya kusafirisha Umeme, Masasi hadi Newala
Serikali yatangaza neema kwa wakulima
Sangu atoa onyo matumizi mabaya fedha za miradi