January 5, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani wa masuala ya siasa Ikulu Dar

Na Mwandishi wetu,Timesmajira,Online

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa Balozi Victoria Nuland, leo Ikulu Jijini Dar es salaam leo.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa,Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021