December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo ndani ya Behewa la Treni ya Uhandisi wakati alipokuwa akielekea Mlandizi mkoani Pwani ambapo amekagua kazi za ujenzi wa kipande cha Reli ya Kisasa kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro ambapo ujenzi umefikia asililimia 80.

Ziara ya Rais Magufuli katika Uwekaji Jiwe la Msingi wa Mahandaki Reli ya Kisasa(LIVE)