Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo ndani ya Behewa la Treni ya Uhandisi wakati alipokuwa akielekea Mlandizi mkoani Pwani ambapo amekagua kazi za ujenzi wa kipande cha Reli ya Kisasa kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro ambapo ujenzi umefikia asililimia 80.
More Stories
Rais Samia azindua kituo cha JNHPP
Atlas yazalisha gesi kwa maji
Mbunifu wa dawa salama apunguza uharibifu wa mayai