March 7, 2026

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wolle kumkabili Simbachawene Jimbo la Kibakwe

Na Mwandishi wetu,Timesmajira

Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM ,Fernando Wolle achukua fomu ya Ubunge na Kurejesha Katika Jimbo la Kibakwe Wilaya ya Mpwapwa Jijini Dodoma.

Wolle anatarajiwa kumkabili George Simbachawene ambaye anatetea nafasi yake.