January 23, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Whozu amzawadia gari Tunda

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online

MSANII wa muziki wa Bogo fleva, Whozu usiku wa kuamkia leo amemzawadia mpenzi wake Tunda gari, huku akisindikiza na Caption.”Something light for my Baby Mama. Mama Lolla Cappuccino Tunda”.

Whozu, amemzawadia Tunda gari hiyo ikiwa ni Siku chache zimepita tangu Wapenzi hao kupata Mtoto.