December 28, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Ndumbaro, Katibu Mkuu wakiwa katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji

NJa Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro pamoja na Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Dkt.Francis Michael wakiwa katika matukio tofauti tofauti katika picha kabla ya kuanza kwa Kongamano la Biashara na Uwekezaji lillilofanyika mapema jana Dubai.

Katika Kongamano hilo lililowakutanisha Wafanyabiashara mbalimbali wa kutoka Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu Mgeni rasmi alikuwa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan