January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Mwigulu, Rais benki ya AfDB wateta

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (kushoto), akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, baada ya kumaliza mazungumzo yao Jijini Dodoma, ambapo Rais huyu wa AfDB yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku 3 kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.