Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe. Sheikh Shakhboot Bin Nahyan. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe. Sheikh Shakhboot Bin Nahyan. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe. Sheikh Shakhboot Bin Nahyan pamoja na ujumbe alioambatana nao.Mhe. Nahayan yuko Nchini kuwasilisha  Ujumbe Maalum wa Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Umoja wa Abu Dhabi Mhe. Mohamed Bin Zayed Al Nayhan kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan. Post Views: 437 Continue Reading Previous Ziara ya kikazi ya Naibu Waziri Mary Masanja wilayani MkurangaNext Serikali: Sekta ya maji inahitaji mabadiliko makubwa More Stories Habari Kitaifa Jokate awapa tano vijana UVCCM maandalizi Mkutano Mkuu wa CCM January 10, 2025 joyce kasiki Habari Watakaokwamisha mapato Kaliua kukiona cha moto January 10, 2025 zena chitwanga Habari Dkt.Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoto January 10, 2025 zena chitwanga
More Stories
Jokate awapa tano vijana UVCCM maandalizi Mkutano Mkuu wa CCM
Watakaokwamisha mapato Kaliua kukiona cha moto
Dkt.Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoto