December 25, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Mchengerwa afanya uteuzi

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa ameteua kamati ya wadau wa Hakimiliki nchini ambayo itajadili na kupendekeza namna bora zaidi ya kusimamia Hakimiliki nchini