January 11, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Kairuki atambelea Banda la wizara ya Maliasili na Utalii

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki na viongozi mbalimbali leo wametembelea eneo lijulikanalo kama “Animal Kingdom” ikiwa ni Bustani ya wanyama hai kwenye Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Saba Saba yanayoendelea Dar es Salaam pamoja na kujionea vivutio vingine.