January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Dkt. Tax, Naibu Waziri Mbarouk waapishwa

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) ameapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Maamuzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) jana Jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ameapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Maamuzi katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) jana Jijini Arusha