January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Bashe, Makonda, kwenye mazishi ya Hayati Lowassa

Na Anthony Siame, TimesMajira Online

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwa na Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda kwenye mazishi ya Hayati Edward Lowassa, yanayofanyika leo Monduli.