January 23, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Watumishi Chuo cha Maji watembelea Ngorongoro

WATUMISHI 80 wa Chuo cha Maji watembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro Kwa namna ya pekee Chuo cha Maji tunamshukuru Waziri wetu wa Maji kwani ametuondolea unyonge Chuo cha Maji leo hii tumeweza kutembelea hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.

Asante Waziri wetu wa Mhe. Jumaa H. Aweso Unforgetable one katika Chuo cha Maji. Asante Dr. Adam Karia Mkuu wa Chuo kwa kusimamia vyema maono ya Jemedari Aweso.