February 20, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wasira azungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)Stephen Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Leo tarehe 18/2/2025 katika Ofisi  ndogo ya  makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. 

Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamebadilishana mawazo katika namna mbalimbali yanayohusu ushirikiano wa nchi ya Tanzania na Korea.