Na Rehema Lyoka
TATIZO la Bawasiri au kwa jina la kiingereza hermorrhoid ni tatizo la kupata uvimbe au kutuna kwa mishipa ya damu kwenye njia ya hajakubwa.
Tatizo hili limekua swala lakuto vumilika kwani lime wakosesha furaha watu wengi sana ,Karibu watu wazima watatu kati ya wanne watakuwa na tatizo la bawasiri mara kwa mara.
Bawasiri ina sababu kadhaa, lakini mara nyingi sababu yake maalum haijulikani
Tatizo la Bawasiri linaweza kumpata mtu wa aina yoyote na jinsia yoyote. Tatizo hlii lina vyanzo vingi kama ifuatavyo : Kupata tatizo la kuharisha mara kwa mara,tatizo la vidonda vya tumbo ,hali ya kutokupata choo kwa wakati ,uzito wa kupitiliza , kushiriki tendo kinyume na maumbile na vile vile ujauzito unaweza kusababisha Bawasiri – wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya kuwa msukumo wa mtoto upo karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa.
NA DALILI ZAKE
Kupata maumivu makali wakati wa haja kubwa , kupata haja kubwa yenye kuambatana na damu , hali ya kupata uvimbe sehemu ya haja kubwa , kupata hali ya muwasho sehemu ya haja kubwa , hali yakupata haja mithili ya choo cha mbuzi .
Madhara ya bawasiri huwa hayavumiliki endapo yamefika katika hatua zifuatazo : kukosa hali ya utulivu wakati wa kutoa haja kubwa , matatizo ya kisaikolojia , kukosa hamu ya tendo la ndoa , upungufu wa damu mwilini ,haja kubwa kutoka bila taarifa .
Habari njema ni kuwa huna sababu ya kuendelea kuteseka , Dkt. Mwaka na wataalam wengine kutoka Mwaka International wapo kwa ajili ya kukupa ushauri na vipo virutubisho vya kiasili ambavyo vina msaada kwa watu wenye changamoto za bawasiri.
Karibu Mwaka International, Ubungo Plaza ,Ghorofa la pili ili kupata ushauri na namna ya kutatua changamoto hizo, Au unaweza wasiliana kwa kupiga simU namba :
0785 100 100 AU 0758 100 100
More Stories
Ubunifu wa Rais Samia kupitia Royal Tour unavyozindi kunufaisha Tanzania
Rais Samia anavyojenga taasisi imara za haki jinai kukabilina na rushwa nchini
Rais Dk. Samia alivyowezesha Tanzania kuwa kinara usambazaji umeme Afrika