January 23, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

UVCCM Tawi la TUDARCo watoa msaada wa vifaa tiba Hospitali ya Rufaa Mwananyamala

Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Tawi la TUDARCo katika picha ya pamoja na baadhi ya wauguzi kwenye wodi ya akinamama walipotembelea hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala iliyopo Jijini Dar es salaam na kutoa msaada wa vifaa tiba kwa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya kina Mama hospitalini hapo Picha na Erika Kyomo TUDARCo
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB),Saddy Kambona wa kwanza kulia akizungumza na wanafunzi kutoka chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Dar es Salaam juu ya umuhimu wa kilimo cha zao la mkonge katika kukuza pato la Taifa walipo tembelea Ofisi ya bodi ya mkonge Jijini Tanga.
Picha na Mary Arthur, TUDARCo.
Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Tawi la TUDARCo katika picha ya pamoja baada ya kutembelea hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala iliyopo Jijini Dar es salaam na kutoa msaada wa vifaa tiba kwa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya kina Mama hospitalini hapo.
Picha Na.William Bukholi, TUDARCo
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB),Saddy Kambona akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Dar es Salaam walipo tembelea Ofisi ya bodi ya mkonge Jijini Tanga kujifunza juu ya umuhimu wa zao la mkonge katika uchumi wa Nchi.
Picha na Rhoda Kivugo TUDARCo