November 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Maandalizi chanjo ya mifugo katika Taasisi ya Chanjo Kibaha (Picha)

Ofisa Utafiti wa Taasisi ya Chanjo Kibaa (TVI) iliyopo chini ya Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) Dkt. Siha Mdemu, akiwaonesha na kuwaeleza wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari hatua mbalimbali za uandaaji chanjo ya homa ya mapafu ya ng’ombe. Wahariri hao walitembelea maabara hiyo iliyopo Kibaha, Pwani mwishoni mwa wiki. Aliyekaa chini ni Fundi Sanifu Mwandamizi wa Maabara hiyo, Mark. Na mpiga picha wetu.
Dkt. Siha Mdemu (kushoto) akiwa na Fundi Sanifu Mwandamizi wa maabara hiyo, Emanuela Joseph wakiwa kwenye mchakati wa kutengeneza chanjo ya homa ya mapafu ya ng’ombe..
Fundi Sanifu wa Maabara wa Taasisi ya Chanjo Kibaa (Marystella Justine akiweka kwenye vifungashio akitumia mashine maalum kwenye chupa maalum zenye chanjo ya ugonjwa wa mdondo kwa ajili ya kuku.
Mtaalam wa maabara akiwa kwenye mchakato wa awali wa kutengeneza chanjo ya ugonjwa wa mdondo wa kuku.
Mtaalam akiendelea kuandaa chanko