January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Timu ya Baraza la wawakillishi yaibuka mshindi

Wachezaji wa Mpira wa Kikapu wa Benki ya NMB na wajumbe wa Baraza la wawakilishi wakiwania mpira wakati wa mchezo uliochezwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mjumbe wa Baraza la wawakilishi, Ali Suleima Urembo akikabidhi kikombe kwa nahodha wa timu ya Baraza la wawakillishi baada ya kuibuka washindi dhidi ya timu ya Benki ya NMB wakati wa mchezo uliofanyika kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 58 ya mapinduzi ya Zanzibar. Kulia ni Afisa Mkuu wa Fedha, Juma Kimori na kushoto ni Meneja wa NMB Zanzibar, Naima