January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

TIGO yafunga safari kumfuata mshindi wa droo ya TigoPesa Mwaa Mwii

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Tigo leo imefunga safari kumfuata mshindi wa droo kubwa Tigopesa Mwaa Mwii aliyejishindia Sh Mil 25.

Ukiwa na Tigo ushindi nje nje kwa kufanya miamala tu ameweza kushinda Pesa.

Ikumbukwe pia katika promosheni Pesa Mwaa Mwii Na TigoPesa kulikuwa na Wateja 20 kila wiki waliojishindia Mil 2 kila mmoja kwa wiki 5 mfululizo.

Vile vile kulikuwa na Wateja 10 waliojishindia Mil 10 kila mmoja kutoka maeneno yofauti tofauti.

Furahia maisha ya kidigitali kwa kufanya miamala kama Lipa Kwa simu, Lipa Bili, Malipo ya serikali nk Piga *150*01# au tumia Tigo Pesa App.